Monday, April 29, 2013

Uzuri wa Pwani zetu

Ukiamabaa ambaa pembezoni mwa jiji la Dar es salaa ni ufukwe mzuri sana,ni sehemu nzuri kujipumzisha wakati wote unapohitaji kupumzika,lakini juu ya hayo yote pemmbezoni mwa fukwe hizo ni Ukanda wa mahoteli mazuri sana yanayoifanya nchi yetu ipendeze na kupendwa ndani na nje ya nchi.Mojawapo ya Hotel zenye hadhi ya juu na ya kuvutia sana si nyingine bali ni Golden Tulip Hotel ni hotel yenye mandhari nzuri sana na pia ni mahali pazuri sana kama unahitaji kujipumzisha,kwa kuangalia picha hii utakubaliana na maneno yangu kuwa uzuri wa nchi hii ni wa kutukuka.
Golden Tulip Hotels In Dar es salaam

No comments: