Thursday, April 25, 2013

Kisiwani Zanzibar

Unapokuwa mapumzikoni,uko kwenye fungate(honeymoon),ni wakati wa sikukuu au umesafiri kikazi au kibiashara ni ndani ya  Diamond  Star of East Zanzibar,ni hapahapa Tanzania.Mungu atupe nini zaidi ya uzuri kama huu.Tuipende nchi yetu na kuithamini wale wanaojua uzuri wa nchi hii waliona kuiita Tanzania peke yake haitoshi wakaipa jina la BONGO.
Diamond Star of East Zanzibar-Island of Zanzibar

No comments: