Monday, April 29, 2013

Ndani ya Rock City-Mwanza

Ukitembelea jiji la Mwanza hutajutia kwani mji huu ambao unajulikana kama 'Rock City' una ziwa kubwa pembezoni ,ziwa ambalo ni kubwa kuliko yote barani Afrika hili si jingine bali ni Ziwa Victoria,ukipita kwenye fukwe za ziwa hili utakutana na mandhari ambayo itakufanya ukubali kuwa BONGO ni nchi nzuri sana,katika pitapita yangu nimekuta hotel nzuri sana katika fukwe ya ziwa hili ambayo ina kwenda kwa jina la Malaika Beach Resort,nisikumalizie uhondo hebu jionee halafu uniambie una haja gani ya kutupa pesa nyingi kwenda kujiburudisha/kijipumzisha nje ya Tanzania wakati uzuri tunao hapahapa kwetu!

Malaika Beach Resort in Mwanza

No comments: