Wednesday, April 24, 2013

Celebrity mkongwe Tanzania

Katika pitia pitia yangu ya siku ya leo nimekuta watu wanazozana juu ya umri halisi wa aliyekuwa na mkongwe wa muziki wa taarabu marehemu Bi Kidude,kuna wanaosema alikuwa na miaka 104 na wengine wanasema miaka 140,iliniacha na sintofahamu kwani nijuavyo mimi hata mwenyewe marehemu sidhani kama alikuwa anajua umri wake halisi.Niwaachie wale watakao kuwa na taarifa sahihi za umri wa marehemu watufafanulie hapa.


No comments: