Wednesday, April 24, 2013

Uzuri wa Tanzania

Jamani tusitupe pesa kwenda Dubai au maeneo mengine nje ya nchi hii wakati tungefanya utalii ndani ya nchi yetu kwa gharama nafuu sana,nilitembelea Zanzibar nikakuta hii restaurant iliyojengwa katika hali ambayo ilionekana kuwavuta wazungu wengi niliowakuta eneo hili,hapa si pengine bali ni 'Michimvi the Rock'
maarufu kwa jina hilo uwapo Zanzibar

No comments: